Tunaget high kuji-entertain
Au kuficha ka pain
Sema wallahi na unadanganya
Life najua itakucane
Peace of mind ndio kitu hawana
Try kutuliza brain
Naficha white nalipwa na fame
Najua wanaskia kujimurrr uh
Utaona disguise zikianza kufade
Na time utaona tuchange
Watatry kusema walikumake, nkt
Si wangejimake?
Patience ya mine, huwaga inafail
Unahaharibu vibes unatupwa njei
Unaskia na light, na puliza jay
Najua wanaskia kujimurrrder

Days za mine of late
Zote ni holiday
Mulla ni long
Na cheka na confidence
Nakimbiza dopamine
Najua kuna consequence
But, mulla ni long
Days za mine of late
Zote ni holiday
Mulla ni long
Na cheka na confidence
Nakimbiza dopamine
Najua kuna consequence
But, mulla ni long

Naona masmile, naona maface
Zingine familiar, zingine na guess
Blessed, vile huwezi amini
Nimeshinda siku mzima
Na finya refresh
Fresh na rap ka mimi
Hakuna mtu mwingine
Na-try kuimpress
Yes, na cheka na nyinyi
Nikichezanga chini
Juu na cheza chess
Kwa life ya mine we ni guest
Ukitoka jua kuna next
Ukiskia tamaa hiyo ni flesh
Ukiishiwa jua we ni ex
Niko on my grind ka crusher
Na plan hadi time ya kurest
Pass bag hii side ka usher
Skia bars, hiyo ni Nairobi West

You just wanna feel something
(Just wanna feel)

Maybe ni mimi, ni fame ama nini?
Watiaji ni wengi, maflow ni baridi
Mashow ni wazimu, madollar ni mingi
Nikidai naeza bini ni bini ni bini
Ukishakata simu
Nishashika ingine
Mwaka imejaa kwa flyer
Ni mimi, ni mimi, ni mimi
Ushaona kakitu
Na hujaona ata kitu
Maybe ni mimi, ni fame ama nini?
Watiaji ni wengi, maflow ni baridi
Mashow ni wazimu, madollar ni mingi
Kwa flyer ni mimi
Ni mimi, ni mimi, ni mimi, ni mimi

Days za mine of late
Zote ni holiday
Mulla ni long
Na cheka na confidence
Nakimbiza dopamine
Najua kuna consequence
But, mulla ni long
Days za mine of late
Zote ni holiday
Mulla ni long
Na cheka na confidence
Nakimbiza dopamine
Najua kuna consequence
But, mulla ni long

Comments (0)