Naziletanga vile unataka nizibring

Ni mi dumb governor wa Shin City
While you've been gossiping I've been busy
Networth iko high Ka sauti ya Kindiki
Mashow ziko packed huwezi susu no Didy
Wana sue no issue no biggie
Big shoes Toto kuzifill Sio easy
I made millionaires wakakua greedy
Wana njaa excess wameshindwa kuistiri
Kama stripper hao mafisi
Industry mzima hunatry Ku move kama sisi
Ona tuki move wanaingiza baridi
Silver Kwa wingi si ni Wanjigi
Wamejaribu kuharibu jina imekataa
Nawashinda na akili na chapaa
Toka na story zao za kijinga
Kuja mahali kuna ma ground Ka kabinga

Naziletanga vile unataka nizibring (Never Lie)
Niko busy nakubreedy what you want(Uuuh)
Wako itchy wanatry kuingia Kwa mix(Never Lie)
Busy Nakubreedy what you want

Niko busy
Namba zote busy
Busy sana busy
Busy nakubreedy what you want(Never lie)
Niko busy
Siku zote busy
Busy kama busy
Busy nakubreedy what you want

Touch down naingia na wing na go missing
Top tier my dear my millions I'm eating
Nashiba mpaka mnajiita ma meeting
Nikiitwa beat inapatanga beating
Ni slaps,ah,mi Niko na drink huoni glass
Mr Macheese on a seat Jo ni black
Si ati ni jokes au naringa ni facts
Kwangu Ile gross wanalipwa ni tax
I've putting in work
Nimekua famous for years na ina perks
Ma youngin' waligrow wakiniskia wanarap
Hakuna kitu unaezaniambia na get busy

Naziletanga vile unataka nizibring (Never Lie)
Niko busy nakubreedy what you want(Uuuh)
Wako itchy wanatry kuingia Kwa mix(Never Lie)
Busy Nakubreedy what you want

Niko busy
Namba zote busy
Busy sana busy
Busy nakubreedy what you want(Never lie)
Niko busy
Siku zote busy
Busy kama busy
Busy nakubreedy what you want

Naziletanga vile unataka nizibring
Breedy what you want
Oooh,wako itchy wanatry kuingia Kwa mix(Never lie)
Breedy what you want
Tuko busy, busy, busy
(Never lie)
Busy, busy, busy

Comments (0)